Nahitaji mkopo

Nahitaji mkopo

esitena tetena

JF-Expert Member
Joined
Aug 21, 2015
Posts
1,747
Reaction score
1,082
ninacho kipato (net guaranteed income) ya shs 250,000/- kwa mwezi zinazotokana na wapangaji wangu wa kibiashara kwenye nyumba, na wenye mikataba ya kudumu. nahitaji mkopo wa shs milioi 20 wa muda mrefu.
naomba jibu humu au inbox.
 
Back
Top Bottom