esitena tetena JF-Expert Member Joined Aug 21, 2015 Posts 1,747 Reaction score 1,082 Dec 22, 2016 #1 ninacho kipato (net guaranteed income) ya shs 250,000/- kwa mwezi zinazotokana na wapangaji wangu wa kibiashara kwenye nyumba, na wenye mikataba ya kudumu. nahitaji mkopo wa shs milioi 20 wa muda mrefu. naomba jibu humu au inbox.
ninacho kipato (net guaranteed income) ya shs 250,000/- kwa mwezi zinazotokana na wapangaji wangu wa kibiashara kwenye nyumba, na wenye mikataba ya kudumu. nahitaji mkopo wa shs milioi 20 wa muda mrefu. naomba jibu humu au inbox.