Nahitaji mkopo

Joined
Feb 23, 2018
Posts
26
Reaction score
19
Habari wakuu je ni wapi naweza kupata mkopo wa haraka wa million moja na nusu m1.5 kwa dhamana ya million 3 msaada wenu tafadhali
Locatio😀ar es salaam
Vitu vya dhamana
1.washing machine
2.mashine ya mazoezi
 
Habari wakuu je ni wapi naweza kupata mkopo wa haraka wa million moja na nusu m1.5 kwa dhamana ya million 3 msaada wenu tafadhali
Locatio😀ar es salaam
Mh mkopo wa m1.5 kwa dhamana ya m3. ????? Wafafanulie vizuri unachomaanisha hapo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…