Nahitaji Mkopo

Nahitaji Mkopo

Muwege mnacheza vikoba jamani
Vinainua sana nyakati kama hizo..

Mkopo wa 500,000 kwa riba ya 30% manake utalipa 650.

Na hiyo riba unamfaidisha mwingine

Hiyo hela ni ya kuvuta kwenye kikoba tu chaap
 
Mtoa mada huu mkopo unataka kuufanyaje? Tokea dec we unatafutaga tu, ni hupati au unakusanya mikopo mingi? medy45
Sijafanikiwa kupata kwakuwa sina connection ya watu kama hao wa mikopo ndomana unaona mpaka leo natafuta watu
 
Back
Top Bottom