20,000 ni hela ya kukopa kweli🤣🤣🤣 acha masikhara kwenye vitu seriousBy the way Anza na 20,000 uhakika Branch
AsanteMcheki huyu jamaa ofisi zao zipo mitaa ya chang'ombe pale
+255 655 644 477
Mama kaniombee Mkopo kwa jina lako tafadhali..Muwege mnacheza vikoba jamani
Vinainua sana nyakati kama hizo..
Mkopo wa 500,000 kwa riba ya 30% manake utalipa 650.
Shida ni income pattern, hicho kikoba uwe na daily income.Muwege mnacheza vikoba jamani
Vinainua sana nyakati kama hizo..
Mkopo wa 500,000 kwa riba ya 30% manake utalipa 650.
Kama huna mia hii nayo ita boost20,000 ni hela ya kukopa kweli🤣🤣🤣 acha masikhara kwenye vitu serious
😂😂😂😂 kwenye rejesho nakupataje?Mama kaniombee Mkopo kwa jina lako tafadhali..
Why daily income? Me nachocheza ni monthly…Shida ni income pattern, hicho kikoba uwe na daily income.
Monthly sawaWhy daily income? Me nachocheza ni monthly…
Kikoba inategemea na nyie wenyewe mnakichezeshaje
Muwege mnacheza vikoba jamani
Vinainua sana nyakati kama hizo..
Mkopo wa 500,000 kwa riba ya 30% manake utalipa 650.
YanNa hiyo riba unamfaidisha mwingine
Hiyo hela ni ya kuvuta kwenye kikoba tu chaap
Hujui atalipa ndani ya muda gani lakin maana riba pia inaendana na mudaMama kaniombee Mkopo kwa jina lako tafadhali..