Nahitaji mkopo

Santaf

Member
Joined
Dec 19, 2023
Posts
15
Reaction score
8
Wanaokopesha Kwa riba nafuu tafadhari tuwasiliane 0656980802 nahitaji 400,000 asap Kwa mwezi au miezi 2 nimejiajiri mwenyewe nina duka la nguo sinza
 
upo eneo gani?

kama upo dar andaa barua ya mwenyekiti wako kukutambua nida namba mashaidi wako wawili na mjumuisho wa unachomiliki (mali)ikiwa haiamishiki itakua vyema,barua ya muajiri kama umejiajiri weka bishara yako wazi

karibu kwa riba asilimia 40
 
Si ameweka Namba ya Simu tatizo nini hapo?
Hii mikopo ni high risk uwezikano wa Hela kupotea ni mkubwa sana , watu wengi wanaokwenda huku hawana Sifa za kukopesha na Bank.
140000/460000 = ni 15%. Kwa mwezi ukigawa Kwa miezi miwili .
Wewe unaanfalia hiyo 140000/ Kwa miezi miwili , wakati uwezikano wakutolipwa 99%
 
Tunaomba kadi ya nida,mahali ulipo ,wadhamini 2 kadi zao za nida,barua jutoka kwa meneja wa unakofanyia kazi tutakupa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…