AGROPRODUCT
JF-Expert Member
- Apr 2, 2023
- 290
- 952
Sister una uzoefu na microfinance?Tunaomba kadi ya nida,mahali ulipo ,wadhamini 2 kadi zao za nida,barua jutoka kwa meneja wa unakofanyia kazi tutakupa
WhySister una uzoefu na microfinance?
NahitajiUnahitaji mkopo au unakopa mkopo Mkuu?
Anakutoa sadaka wewe kwa laki 4Unahitaji mkopo au unakopa mkopo Mkuu?
Kuna issue nilitaka unisadie
Ipi hiyo??Kuna issue nilitaka unisadie
Kwenye issue za uendeshajiIpi hiyo??
Ipi hiyo??
Tunaweza kwenda PMIpi hiyo??
Nimejiajiri mwenyewe nina duka la nguo sinza mapambanoTunaomba kadi ya nida,mahali ulipo ,wadhamini 2 kadi zao za nida,barua jutoka kwa meneja wa unakofanyia kazi tutakupa
Unataka kufungua taasisi ya mikopo?Kwenye issue za uendeshaji
Ndio Sister, nishamaliza process nyingi Bado. Kuanza operationUnataka kufungua taasisi ya mikopo?
Wanaokopesha Kwa riba nafuu tafadhari tuwasiliane 0656980802 nahitaji 400,000 asap Kwa mwezi au miezi 2 nimejiajiri mwenyewe nina duka la nguo sinza
Ulikuwa unahitaji mtu asimamie??Ndio Sister , nishamaliza process nyingi Bado. Kuanza operation
Yeye mwenyeweNaweza kukupa, una nini cha kushikika kama bond?
Tunaweza kwenda PM?Ulikuwa unahitaji mtu asimamie??
Yeye mwenyewe
Sawa msaidie basiSi ameweka Namba ya Simu tatizo nini hapo?
Nina vitu vya ndani nimejiajiri nina duka la nguoNaweza kukupa, una nini cha kushikika kama bond?
Wengine sio waajira tunapambana na maisha tuishi hatuna bond zaidi ya vitu vya ndani na duka tafadhari fuataneni dm nafatilia uzi wangu naweza pata msaadaYeye mwenyewe