Nahitaji mkopo

Nahitaji mkopo

BRAVO 2 ZERO

JF-Expert Member
Joined
Jul 16, 2013
Posts
1,174
Reaction score
1,196
Wana jf nahitaji kukopa pesa ili nifanye bussiness kwani mshahara tu hautoshi ila nina bussiness plan nyingi tu na zipo viable pia nina account Crdb ambayo ipo active but sijui pa kuanzia.please wenye utaalam na hili naomba msaada
 
Kwa nini usiwaone na ili ukope hukohuko CRDB?
 
je una biashara au kazi inayoweza kurudisha huo mkopo,je una security inayoweza kukudhamini kiwango cha mkopo unachotaka kukopa?
kama una hivyo vitu nenda waone benki na mkopo utapata na ukishindwa kabisa basi tuwasiliane mie ni mshauri elekezi nitakusaidia bureeeeeeee
 
je una biashara au kazi
inayoweza kurudisha huo mkopo,je una security inayoweza kukudhamini
kiwango cha mkopo unachotaka Kama una Collateral around Dar yenye thamani kama nyumba ama kiwanda na hati ziko sawa pamoja na document nyingine ni PM
 
Back
Top Bottom