Charlie chaplin
JF-Expert Member
- Jan 26, 2014
- 336
- 312
Habari wakuu nahitaji kupata mkulima au supplier ambaye atakubali kuniuzia maparachichi mazuri na kwa bei isiyo nzuri.
Awe na vigezo vifuatavyo.
1. Uwezo wa kuuza parachichi kwa makubaliano ya bei kwa kilo.
2. Uwezo wa kuuza na kuvuna parachichi mpaka kilo 500 hadi tani moja ( kilo 1000)
3. Mzoefu wa biashara
4. Nahitaji parachichi aina ya hass na normal ziwe nzuri zisokaribia kuoza.
Ni pm tufanye biashara mapema.