Nahitaji mkulima au supplier wa parachichi tufanye biashara

Charlie chaplin

JF-Expert Member
Joined
Jan 26, 2014
Posts
336
Reaction score
312
Habari wakuu nahitaji kupata mkulima au supplier ambaye atakubali kuniuzia maparachichi mazuri na kwa bei isiyo nzuri.
Awe na vigezo vifuatavyo.
1. Uwezo wa kuuza parachichi kwa makubaliano ya bei kwa kilo.
2. Uwezo wa kuuza na kuvuna parachichi mpaka kilo 500 hadi tani moja ( kilo 1000)
3. Mzoefu wa biashara
4. Nahitaji parachichi aina ya hass na normal ziwe nzuri zisokaribia kuoza.
Ni pm tufanye biashara mapema.
 
Upo mkoa gani mkuu
 
Wakati wakulima wanalia soko na bei wengine mpo mtandaoni kutafuta parachichi.kipindi hiki parachichi ni adimu mpaka mvua zinyeshe.
 
0754306669
 
Mzigo upo boss tutafutane hasa miezi hii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…