Nimekupm mkuuNahitaji mlinzi wakunilindia nyumba yangu Mwanza maeneo ya mkolani.Mshahara kwa mwezi TZS. 100,000 kama upo tayari nipm tuweke mambo sawa
Sent using Jamii Forums mobile app
Hiyo alarm pia itafungua na kufunga mageti bila kisahau kuosha magari?Nicheck kwa 0743171049 nikufungie Alarm system ya Gardaworld utatulipa 118,000 kwa mwezi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Tangu lini kazi ya mlinzi ikawa hiyo, tofautisha kati ya mlinzi na maasai na ndio maana kuna gate motors na car wash. Mchana mwema.Hiyo alarm pia itafungua na kufunga mageti bila kisahau kuosha magari?
Sent using Jamii Forums mobile app
Hiyo alarm unafunga kwa Bei gani?