Nahitaji Mold/ fremu za kutengeneza mikanda ya gypsum

Kerosine Bal

JF-Expert Member
Joined
Mar 18, 2014
Posts
247
Reaction score
231
Habari wakuu, nahitaji fremu za kutengeneza mikanda ya gypsum. Anayefahamu inapatikana wapi na ikiwezekana na bei yake akoment nitamfuata inbox tuyajenge.

Pia, anayetengeneza hii mikanda naomba akomenti nitamfuata inbox.

Asanteni sana.
 
Habari wakuu, nahitaji flemu za kutengeneza mikanda ya gypsum. Anayefahamu inapatikana wapi na ikiwezekana na bei yake akoment nitamfuata inbox tuyajenge. Pia, anayetengeneza hii mikanda naomba akomenti nitamfuata inbox. Asanteni sana.
Search humu kuna nyuzi nyingi zitakusaidia.

#MaendeleoHayanaChama
 
Habari wakuu, nahitaji flemu za kutengeneza mikanda ya gypsum. Anayefahamu inapatikana wapi na ikiwezekana na bei yake akoment nitamfuata inbox tuyajenge. Pia, anayetengeneza hii mikanda naomba akomenti nitamfuata inbox. Asanteni sana.
Nnaweza kukuuzia tuna kampuni inayodeal na hizi Gypsum Mould inbox tuongee biashara.

hi bro nahitaji mould lakn pia sina uzoefu na utengenezaji wa mikanda utanisaidiaje kupata elimu kidogo juu ya utengenezaji wa iyo mikanda
 
Mcheki Hisham Pokoho
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…