Nahitaji movies za kiswahili za wakenya

Nahitaji movies za kiswahili za wakenya

James88

JF-Expert Member
Joined
May 14, 2017
Posts
1,700
Reaction score
1,761
Kama unaifahamu movie yoyote kali ya kiswahili ya wakenya, dondosha jina lake hapa mimi nikaitafute maana hizi bongo movie ni full kuchoshana tu. After all nilishaacha kuziangalia siku nyingi, Siwasikii sana hawa ndugu zetu kwenye industry ya movies lakini naamini wanaweza kuwa wanafanya vitu vya maana sana. Sisi wabongo ubabaishaji ni mwingi na watu wengi wanalazimisha vipaji.

Napenda sheng ya watu wa nairobi, so I believe kwamba movie zao za kiswahili zitakuwa poa tu na nitazipenda, na hili ni kutokana na movie zao chache tu nilizoziangalia.

Natanguliza shukrani.
 
Umetizama movie kwa jina Nairobi Half Life? Pia kuna nyingine inaitwa Veve.
 
Hawana movies hawa jamaaa , music tu wana sua sua,
 
kiswahili chenyewe hawajui wataanzaje movie hizo halaf acha kasumba penda vyenu
 
Utasikiliza kiswahili chenye ukakasi, na kama unapata hasira mapema unaweza kujikuta umevunja screen .Kiswahili cha Kenya ni ovyo kabisa
 
Umetizama movie kwa jina Nairobi Half Life? Pia kuna nyingine inaitwa Veve.
Dah hii movie ni kali Sana tatizo ni pale jamaa anamla yule manzi alipotoka jela ndo inanifanya nisiiweke kweli list ya movie za kuangaliwa na family
 
Dah hii movie ni kali Sana tatizo ni pale jamaa anamla yule manzi alipotoka jela ndo inanifanya nisiiweke kweli list ya movie za kuangaliwa na family
Wapi hapo alipotoka jela, na unamaanisha nani haswa? Movie kali sana ile, nadhani nitaitizama tena ni kama nimesahau sahau scenes za hiyo movie.
 
Back
Top Bottom