Sikiliza masaibu ya huyu mama aliyekuwa desperate kupata mzungu bila kujali background check, tabia ,hulka na kuamua kuchukua hatua za kificho na za haraka kutizima azma yake bila Kwanza kufanya uchunguzi na kupata baraka au maoni. Mama akisingiziwa ni kichaa akapelekwa hospitali za Afya ya Ubongo ....
Source: TUCO Kenya