Nahitaji mpenzi na msaidizi

Avantika

New Member
Joined
Feb 28, 2019
Posts
2
Reaction score
2
Nahitaji mpenzi na msaidizi wa maisha
Nimekulia maisha ya mahangaiko..nahitaji mtu wa kunitoa upweke na huzuni nliyonayo. Nahitaji kutulia nami
Naitaji wa kunishika mkono nitoke hapa nilipo
Naahidi upendo wa kweli kwako.

Mimi ni mwanamke. 24-28
Mkristo
Menine utayajua
Asante

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa wewe unaposema msaidizi una maanisha nini??

Kwa kwawaida mwanamke ndio msaidizi siku zote,na iko hivyo hata kwenye kitabu kitakatifu,.sasa kama wewe ndio unataka msaidizi tena nashindwa kuelewa una maanishaje,.em' nieleweshe kidogo hapo tafadhali..
 
wewe hufahi unakiburi na kujikweza mtoto wa kike unataka mwanamme ndio awe msaidizi tena.. Duh.
 
Wanakuja
 

Mkuu kwa upande wangu yuko sahihi, msaidizi kwa maana ya biblia ni yule anayefanya kile usichokiweza. Yesu aliwaambia mitume wakae pale hekaluni hadi hapo atakapomtuma msaidizi(Roho mtakatifu). Huyu msaidizi hutuombea kwa baba maana hatujui kuomba itupasavyo(hivyo alikuja kama msaidizi kufanya lile ambalo hatuliwezi - kutuombea). Hapa inaonyesha kile tusichokiweza msaidizi ndicho anachokifanya. Kwa maana hiyo huyu mleta mada hii yuko sahihi, kumtafuta msaidizi(mume) ambaye atasababisha Yale asiyoyaweza mwenyewe, yawezekane akiwepo hiyo msaidizi mfano wa mambo hayo ni kupata watoto, kuondoa upweke nk. Hii ni kwa pande zote mbili mwanaume na mwanamke, wote tunahitaji wasaidizi. Sababu mwanaume Hata uwe mjanja vipi huwezi kupata mtoto hadi mwanamke ahusike vivyo hivyo kwa mwanamke.
 
Wengi wenu huwa mna tatizo juu ya tabia zenu.
REJEA CHEMA CHAJIUZA KIBAYA CHAJITANGAZA.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni pm nikwambie jambo la muhimu na lazima.


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mtu hata umri wake haujui nani atamuoa?
 
Siku zote wanaume wanatafuta wanawake. Leo huyu mmama ndio anatafuta dume.
Inaelekea Huyu ni mwanamke mwenye Tabia mbaya sana za kuchukua wanaume za wenzake na inaelekea walishamzalisha ba amewahi kuzichoropoa mimba kibao. Sasa anatafuta mtu asiyejua huko nyuma kwake kwamba ni kubovu. Tumekustukia mama. Endeleza ulevi
 
Huyo mwanaume na lazima atakuwa shoga maana umri wake mwenyew haujui
 
Usifananishe usaidizi wa roho mtakatifu na mambo ya mke na mume, bibilia inamtaja mwanamke kama msaidizi wa mume wake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…