Nahitaji mpenzi serious hili tuje kuoana

vakani vakani

Member
Joined
Oct 1, 2014
Posts
36
Reaction score
49
Nahitaji mpenzi hili tukikubaliana tuoane.
Sifa zangu
1.Mim ni mfupi , mnene na rangi yangu mweusi.
2.miaka yangu ni 39
3. Ni muajiriwa sekta binafsi
4.Nina watoto wawili midume
5.Naishi mwanza

Sifa za mwanamke
1.awe na umri 21-28
2. chotara au mweupe sana
3. Asiwe na mtoto
4.awe mwembamba
5. Asiwe anakunywa pombe

Ukiwa seriou nicheki kwenye mramali.2011@gmail.com
 
Nakuombea sana
 
Dada huyu mume nakupa wewe πŸ˜† kibonge mwenzio
aah Thubutu weee Mission itakua impossible bhana πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚uyu anakufaa wewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…