Nahitaji mpenzi serious hili tuje kuoana

kumbe kweli watu wafupi mna matatizooo, 😆😆😆😆 una watoto wa 2 wewe hata mwenye mmoja humtakii??? wanaume tunakwama wapiii?
 
Umetuangusha watu wafupi aseee [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Duuh yani wanaume ndo tulupofikia huku asee?? Aya jamaa angu all the best ila icho kigezo cha mtoto rekebisha mkuu unless unatafuta msichana wakulea wanao
 
Ngoja waje chaajabu hautaki mwenye mtoto wakati wewe una mtoto
 
Ninaposema watu wafupi hua wana matatizo hua nipo serious
 
Wewe noma [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] unawatoto wawili ila mwanamke asiwe na mtoto duuu hiyo nayo kali japo haileweshi[emoji23][emoji23] haya ngoja waje.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…