Nahitaji mpenzi wa kike miaka 25-50

J627204

JF-Expert Member
Joined
Feb 18, 2014
Posts
268
Reaction score
99
Mimi nikijana nipo hapa dar natafuta mpenzi mwenye kuelewa thamani yakupendwa na kupenda awe mkweli asiwe mwongo naomba aje pm tuongee mengi
 
Bila shaka ulipata wa kukulea huko daaslam.
 
Utapaka tu dogo, ungeweka na umri wako wakufahamu
 
Mimi nikijana nipo hapa dar natafuta mpenzi mwenye kuelewa thamani yakupendwa na kupenda awe mkweli asiwe mwongo naomba aje pm tuongee mengi
Toa maelez y kutosh mzee, half hyo 50 years haujkosea kwel typing , maan m madhan ulikuw ukimaanish 25-30.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…