Nahitaji mpenzi wa kiume

Status
Not open for further replies.
Nyimamadogookumanga!

Mkuu King Kong III hivi hili neno maana yake huwa ni nini? Maana naona mara kwa mara unalitumia.

Tuma tena mkuu,naona hii imekataa kusomeka!
OK

ITEGAMATWI unajua wakati naposti nilikuwa na haraka sikuangalia vizuri link - anyway, fungua link hii hapa chini alafu usikilize huo wimbo vizuri mpaka mwisho utaelewa jamaa huwa anamaanisha nini na inalingana na hoja aliyeleta hii mada ya kutafuta Kijana wa kumlea:

NB:

Ukisikiliza utajua King Kong III huwa anamaanisha nini!

Bonyeza Play
alafu usikilize vizuri maana una mafumbo kdg,

Maana yake ipo karibu na mwisho kwenye dakika ya 2:48


LINK: http://www.hulkshare.com/uuc2zmjg6w4r
 


Nimeisikia mkuu lakini sijawaelewa! Maana nasikia tu hii ngoma nzito lakini hawajasema uzito wake ni nini!
 
Weka namba hapo, ipo sexmachine moja naamini nitakufikisha hapo uliposhindwa kwa miaka 55
 
Nimeisikia mkuu lakini sijawaelewa! Maana nasikia tu hii ngoma nzito lakini hawajasema uzito wake ni nini!
Mkuu ITEGAMATWI

Rejea bandiko langu hapo juu

Nimesema sikiliza kwa makini kuanzia dakika ya 2:48 na kuendelea (ni Robo Tatu ya sehemu ya mwisho wa wimbo) ndipo utakalolisikia hilo neno na kujua maana yake!

Sasa mimi nimekuambia ina mafumbo kdg!

Ila kuanzia dakika hiyo utalisikia hilo neno na kujua maana yake! ....

Sasa ukishindwa kujua basi utakuwa na matatizo ya kuelewa misemo ya kiswahili! & itabidi tuanzie Jukwaa la Lugha! :wink2:
 
mie nakushauri..mwambie mwanao wakiume akuoe usiangaike na watoto wa watu.....
 
eeh haya sasa////////////////////:hungry:
 


Mkuu si uniambie maana yake?Kama vipi ni PM basi kama si busara kuiweka hadharani.
 

:A S 13::A S 13:.......................:lol::lol::lol::lol:..............................:gossip:
 
Nina mke mzungu ambaye huja mara moja kwa mwaka nami pia huenda mara moja, duration ya kukaa ni wiki 4 kwa kila mmoja wetu, je nitakufaa?
 
mbona hujaweka mawasiliano nitakupataje jamani mwenzio weka namba basi
 
Unatafuta presha mama mkubwa. Kwani utamuweka super gluu. Na wadada wa siku hizi mashetwani yaani anaelezwa mpango mzima na anakuja kama wifi yako na utampa huo mshiko.
Unawajua WAMA? Wanasemaga mtoto wa mwenzio ni wako.
Sitaki aoe na sitaki atafute Mtoto.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…