Nahitaji mpenzi wa kiume

Status
Not open for further replies.
Pm nikate kiu yako,ila picha mhimu kwanza
 

Nakuja,niko tayari si angalii Umri
 

Nipe number yako
 
Mama Katarina uko sahihi kabisa, nakuombea upate kijana unayemtaka, ningekuwa ktk huo umri ningechangamkia. Hivi mbona mwanaume wa miaka 50 kumwoa msichana wa miaka 18 inaonekana ni sawa, lakini wenzetu akina mama wakihitaji nguvukazi ya kitandani tunawazomea!
 

achana na watoto mie mzee mwenzako nipo hapa...
 
Vijana wa siku hizi kwa kupenda mteremko,yaani mmemiminika kama nzi kwenye mzoga
 
Mi nina 27 naomba consideration please maana mwaka mmoja tu unataka na vyeti kabisa au
kuambiwa tu inatosha maana mi nitakuja na cheti cha kuzaliwa kwa uthibitisho
ni pm tuendelee na raha duniani
 
Huyu mzima kweli?. Dah! j¡mama unajitongozesha.

THIS IS NOT FAIR.
 
kama hautaki awe na mke na wakati huo huo umesema hautamzalia mtoto unategemea huyo mtoto ataendelezaje kizazi chake? kweli haumtakii mema mtoto wa mwanamke mwenzio.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…