Sioni aibu maana atakuwa kama mume wangu,na wanangu watamuheshimu kama baba yao.
uwiiiiiiii,33yrs amueshimu 26 kama baba..............mi mbona kama sielewi tena
Am a Tanzanian Woman.
Natafuta Kijana wa Kitanzania wa Kumlea,Almradi ajue Mapenzi na Awe Handsome kiasi.
Mimi Nimetengana na Mume wangu.
Sihitaji sifa zozote toka kwake,ila Mapenzi ndo ya Umuhimu.
Umri wangu ni miaka 55.
Yeye awe na kuanzia miaka 22-26.