Nahitaji mpenzi wa kiume

Status
Not open for further replies.
Kwani nataka nimzalie mtoto?
Me nina watoto wakubwa.
Wa kwanza yuko nje ameoa na ana familia yake.
He's 33yrs,na wengineo.

Halafu siku wakigundua mama yao unatoka na kijana sawa na rika la mwanao unafikiri watajisikiaje??????
 
huyo si ni mwanao sasa ...
 
Hawatajisikia vibaya kwa sababu niliwashirikisha ktk huo uamuzi na walilidhia

Pamoja na hayo kwani hakuna wazee au watu wa makao wanaojua mapenzi mpaka vijana???? Unataka wakung'oe kiuono ndiyo ufurahi???? Wewe mama kuwa kijana ni guarantee ya kuwa na nguvu lakini siyo kujua mapenzi na wewe shida yako ni mapenzi.

Halafu mtakuwa mnakutania wapi, guest au home??? Kama guest ni aibu utaingiaje na huyo dogodogo wako????

Think twice your decision.
 
Hizi ndizo zinaitwa "athari"za dunia kuwa kijiji na maendeleo yanakokimbia...
 

Nyumbani naishi na msichana wa kazi tu.
Hyo tutakutania kwangu.
Napenda sana vijana kwani nilishawah kuwa nae hapo nyuma,ila nilimfumania.
 
Ayajue mapenzi" What do u mean here?
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…