Nahitaji mpenzi wa kiume

Status
Not open for further replies.

Mambo wng upo wapi ww nicheki 0655666054 pia naomba namba yako
 
Hapa ngoja nipite kimya kimya tu ili mbachao Madame B asije akaniona akaniacha sababu ya huu msala upitao AmKATRINA
 
Last edited by a moderator:
mh kweli ukistaajabu ya musa utayaona ya firauni
 
hii tabia ya kufufua nyuzi zilizopitwa na wakati inakera sana...na ninahisi inafanywa na wageni wa jf... ukikosa cha kuchangia kwenye nyuzi zilizo updated bora upite kimya tu kuliko kuibuka na nyuzi zilizo outdated
 
Amkatrina ulianza lini kutoa jicho?
 
Sitaki aoe na sitaki atafute Mtoto.
We ni jini siyo bure. Wewe una watoto halafu hutaki mwenzako awe na watoto. Kafie mbele huko. Au umba wa kwako lakini kwa hawa alowaumba mwenyezi Mungu hakuna, fala wa aina yako. Huna maana. Raha ya duniani ni watoto halafu eti unaleta upumbavu. Mods toeni huu uzi wa kipumbavu na wa kibaguzi
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…