Mtu mzima hovyo, sijawahi kuona mtu mbinafsi kama wewe na kama haya ndiyo mambo yako subiri vijana watakuchezea baada ya miaka kadhaa wanaondoka na kuoa wake zao. Si utulie au mwombe Mungu urudiane na mumeo? Wewe unatamani maisha ya uzinzi tu.Sitaki aoe na sitaki atafute Mtoto.
Wacha kupayuka, usiingie JF kichwa kichwa, huyo anaweza hata akawa ni Mwanaume. soma post ya Zomba hapo juu.Mtu mzima hovyo, sijawahi kuona mtu mbinafsi kama wewe na kama haya ndiyo mambo yako subiri vijana watakuchezea baada ya miaka kadhaa wanaondoka na kuoa wake zao. Si utulie au mwombe Mungu urudiane na mumeo? Wewe unatamani maisha ya uzinzi tu.
Huyo ni shetani wala usimshirikishe Mungu kwenye uchafu ukavuna laanaHaya sweet nakuja, haki ya Mungu. Mungu anipe nn gunia la misumari? Hapanaa
Thanks Man umenisaidia kuokoa muda wangu badala ya kukaa kwenye thread ya mtu mpuuzi kama huyu anayedhani anaweza kucheza na akili za watu hapa JF.Unachezea muda wa watu?
you can,but i can than you;therefore it is me who will get that chansi.
Jamani mbona hampo serious?
Hiyo ngoma ngumu anhaa hii ngoma nzito haifai kwa jf anhaa sio lazima iwe mmu basi ukitaka jf i-shine nyimamadogookumanga!
Mtu mzima hovyo, sijawahi kuona mtu mbinafsi kama wewe na kama haya ndiyo mambo yako subiri vijana watakuchezea baada ya miaka kadhaa wanaondoka na kuoa wake zao. Si utulie au mwombe Mungu urudiane na mumeo? Wewe unatamani maisha ya uzinzi tu.
Mtu mzima hovyo, sijawahi kuona mtu mbinafsi kama wewe na kama haya ndiyo mambo yako subiri vijana watakuchezea baada ya miaka kadhaa wanaondoka na kuoa wake zao. Si utulie au mwombe Mungu urudiane na mumeo? Wewe unatamani maisha ya uzinzi tu.
Wa kwako unaye, baba yangu ndo unaona wa kuchezea, my dady is now 70 in a happy marriage with my mumy at 63. Nenda kafanyiwe maombi kwa jina la Yesu mzee mwenzako mtarudiana tu.Basi niletee baba yako anioe.
Am a Tanzanian Woman.
Natafuta Kijana wa Kitanzania wa Kumlea,Almradi ajue Mapenzi na Awe Handsome kiasi.
Mimi Nimetengana na Mume wangu.
Sihitaji sifa zozote toka kwake,ila Mapenzi ndo ya Umuhimu.
Umri wangu ni miaka 55.
Yeye awe na kuanzia miaka 22-26.