Nahitaji Mpenzi wa kuanza naye Mwaka nipo serious!

KakaKiiza

JF-Expert Member
Joined
Feb 16, 2010
Posts
11,794
Reaction score
9,075
Wadau mimi ntaona faraja kama nitapata mpenzi mpya wakuanza naye mwaka yani 01/01/12 nakuwa naye kwa mwenye nia kama mimi pls PM! Vigezo sihitaji kwani kitendo cha kuwa JF nitosha wewe ni mjanja!
 
Wadau mimi ntaona faraja kama nitapata mpenzi mpya wakuanza naye mwaka yani 01/01/12 nakuwa naye kwa mwenye nia kama mimi pls PM! Vigezo sihitaji kwani kitendo cha kuwa JF nitosha wewe ni mjanja![/QUOTE]

USIJIDANGANYE. UJANJA NI KUZINGATIA VIGEZO!
 
Wewe vigezo jf??tukikutana hapo hapo nitavijua kama vinanifaa kama havifai atakuwa rafiki mwema.
 
Wadau mimi ntaona faraja kama nitapata mpenzi mpya wakuanza naye mwaka yani 01/01/12 nakuwa naye kwa mwenye nia kama mimi pls PM! Vigezo sihitaji kwani kitendo cha kuwa JF nitosha wewe ni mjanja!

Nimekupenda. je wewe ni mwanamke au mwanaume? Mimi ni dume. nakuhitaji. Mia
 
hii kali
Kwa hiyo 2013 unamuacha huyu na kupata mwingine..
 
Back
Top Bottom