Nahitaji mpenzi

katniss bravechick

New Member
Joined
Mar 30, 2019
Posts
1
Reaction score
0
Uwe mchangamfu
Uwe na akili ya maisha,namaanisha mfano hata kama sio msomi wa degree unaweza piga mission unapata hela.
Ujue kutafuta hela
Ujipende.uwe smart kimuonekano na kiakili
Uwe na upendo wa kweli,usiwe mbinafsi,uwe unajali

Uwe unajiamini na kusimama kama mwanaume.
Kimuonekano uwe mrefu kuanzia futi 5 kuendelea.

Mimi binti wa kawaida tu,sio mzuri sana
Sina pesa
Elimu ya kawaida
Mkristo
Mrefu 5 ft

Kama unajijua bado uko kwenye harakati zako za umalaya tafadhali usije.kwa heshima zote naomba usije.
Hapa sio pake.
 
Fanya kuni pm tuyajenge
 
Ww elimu ya kawaida halafu unataka degree?
 
Ww elimu ya kawaida halafu unataka degree?

Mwanaume ndio kichwa na ndio boss wa familia ndio maana inashauriwa awe na msomi zaid ya mkewe. So nadhan mwanzisha mada yupo sawa
 
Wewe umesema sio mzuri kisha unataka mwenye pesa na awe smart.

Kama una kitu cha ziada ulichonacho kitangaze ili watu waje.
 
Mwanaume ndio kichwa na ndio boss wa familia ndio maana inashauriwa awe na msomi zaid ya mkewe. So nadhan mwanzisha mada yupo sawa
Anawwza kuwa msomi na asiiweze familia
 
Nakushauri tafuta watu mitaani , huku si poa wengi waongo wana watu wao,
 
Sie wahenga na ambao tumezidi urefu wa ft5 tunaruhusiwa kuja kuleta maombi pia. Mie nipo ft6.2 nimezidi kiwango chako.
 
Nipo ila uwe tayar kupima hiv
 
Ni hakikishie kama hutaniteka nikikupa namba yangu ya simu..

Maana nyie mnajifanya mnatafuta wachumba kumbe timu bashite.
 
Nina 6.8 je naruhusiwa au?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…