unavaa nguo nyingi za nini na joto hilo? Jasho jingi ni chanzo cha kusababisha magonjwa ya ngozi hasa katika nchi zetu hizi za joto. kama hubadilishi chupi kila siku na kuvaa nyingine safi yawezekana una fungus, ni skin irritations tu. cha muhimu ni kubadilisha chupi kila siku na kujiweka msafi. pia jaribu tumia medicated soap *detto* na anti fungal (dawa za fungus (nystatin), pia waweza kuwa unaweka powder kama unatokwa na jasho jingi!sasa yapata wiki mbili sasa kuna vijipele vimenitoka karibu na sehemu za mapumbu,nimeenda hospitali nimepima hawajakuta tatizo lolote,wameeniambia kuwa inawezekana sababu naavaa nguo nyingi sana ndani,nimepunguza kuvaa nguo nyingi nimetumia dawa ya kupakaa sehemu iliyooadhirika na nyingine nimeambiwa kunya lakini kidonda hakijapona wala nini,naombeeni msaada jamani nduguzanguni
sasa yapata wiki mbili sasa kuna vijipele vimenitoka karibu na sehemu za mapumbu,nimeenda hospitali nimepima hawajakuta tatizo lolote,wameeniambia kuwa inawezekana sababu naavaa nguo nyingi sana ndani,nimepunguza kuvaa nguo nyingi nimetumia dawa ya kupakaa sehemu iliyooadhirika na nyingine nimeambiwa kunya lakini kidonda hakijapona wala nini,naombeeni msaada jamani nduguzanguni