Nahitaji msaada juu ya swala hili kisheria

Okol36

JF-Expert Member
Joined
Jan 10, 2015
Posts
1,544
Reaction score
738
Pindi mwanamke anapokunywa sumu kuhusu mapenzi alaf akaandika ujumbe wenye jina la MTU flani hivi hyo MTU alieandkwa jina anahusika vipi ??? Na hukumu yake huwa Ni VP ???
 
Si mtaalamu wa sheria lakini hapo naona itaangaliwa mtu katajwa kwa ishu gani kama ni mapenzi siion kosa la alie tajwa .
Ila kama alietajwa alimbaka muhusik au kufanya makosa mengine ya kisheria naon kuna jambo laeza fanyika


Manguli wa law piten hapa
 
Kama kajiua baada ya kubakwa huyo jamaa atakua ni kisababishi
Causation
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…