Nahitaji msaada kama umewahi kutana na changamoto hii

Umenikumbusha maisha ya Chuo, Roommate alikuwa anakoroma mpaka tukagombana kabisa..

Mimi ninakereka yeye anavyokoroma, na yeye anakereka ninavyomwamsha kila Mara ili asikorome.. Suluhu ilikuwa ni Mimi kuhama Chumba.

Kuna watu wanakoroma Mpaka milango na madirisha inatikisika.
 
Mwanamke mara zote ana koroma Sauti ya Kwanza, ambayo wewe huna,
Ogopa Dume anaye koroma Base! utakimbia!

Anakoromea juu au chini
 
UEFA champions league ni lini eti mkuu
 
Morrison atawasumbua SIMBA kama alivowasumbua ORLANDO PIRATES
 
Ukiona uko na mwanamke usiku wote yuko macho ujue hujampa vyake sawasawa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Basi msisale kama hamtaki kukoromeana.
 
kwa ushauri hapo mkuu mue mnazagamuana ucku kucha asipate muda wa kulala akakoroma

yani we ni show show kila siku usiku hakuna kulala mnapeana tunda
 
Nimependa wasifu wake hapo chini,
Matako makubwa na mapaja manene[emoji23][emoji23]hongera, ila mkoromo sidhani Kama unatiba....Kuna watu wanakoroma Kama scania inapanda mlima.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] khaaaah wee kiboko lol
 
Mkuu ule uzi wetu umeukatia Cheti cha Ithibati? Maana vijana wanatumia tu ile title bila idhini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…