Nahitaji msaada, kibamia kinanitesa sana

Bwahahahaha umenifuraisha sana, kwa iyo iko kama piliton ukikooa tu kinatoka aseehh,
 
ila Miss Natafuta huwa anatafuta kibamia lakini,jaribu kucheki nae!
 
Inaweza kuwa 4 - 4.5
Sasa hichi ni kibamia . Hiv unavijua vibamia wewe...??

We piga kazi, cha msingi mashine inasimama na inapiga round za kutosha.

Kuna wenzako wana mijihogo ila sex duration 20 seconds, goli moja kamaliza.

Na hayo madawa jichanganye utaja juta , utashangaa una kibamia na mbaya zaidi hakisimami. maamae, utaomba dunia ipasuke
 
Hii inatokana na kutahiriwa mapema mtoto akiwa bado Mchanga
 
Ninayo ila inafanya vizuri kwa wasiotahiriwa bado. Kwa waliotahiriwa tayari shida yake ni moja, sehemu ya mbele ya pmmbu inapovutika inavuta pia msuli wa ndani hali inasosababisha hata pummbu kusogea mbele. Hivyo badala ya mashine kuwa na umbo la P inakuwa kama D yenye ncha pande zote. Mpaka hapo uamuzi ni wako, japo hiyo D haina manufaa kivile.
 
Lkn pia mbona wanawake wengi wanapenda wanaume wenye vibamia?

Daah pole mkuu
 
Mbona Naonaga Instagram kuna dawa za Viba100?? Na wanaisifiia.Jaribu kutafuta na huko.Au uliziaulizia...
But mbona vibamia mnavitesa?? Huyo Dada hakupendi kibamia huwaga hakina shida ninavyisikiaaga.Msichana kusema hivyo ni njia ya kukuumiza na kukuacha
Kama MTU anakibamia why usikae kimyaaa haya mambo ya Kama piriton yanakujaje kama sio kukosa Busara
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…