mysara2011
Member
- Sep 28, 2017
- 69
- 84
Nilipimwa huku Dodoma general na benjamin ila kote naonekana sina shida kwa dar niliwahi pimwa mwananyamala full blood picture ila kote naonekana sina tabu ila daktari wa mambo hayo ulonambia sijawahi onana naye hapa nafikiria tu niende kupiga X-ray ya kichwa maana naona inakuwa too much.Pole sana Mkuu, Hospitali zipi ulienda? Uliwaona madaktari bingwa wa mfumo wa fahamu(Neurologists)?
Aiseee pole sana sana jamani....kwa kweli hata mimi kuna ndugu yangu mmoja anaumwa sana sana na kichwa muda mrefu more than 15years,Nilipimwa huku Dodoma general na benjamin ila kote naonekana sina shida kwa dar niliwahi pimwa mwananyamala full blood picture ila kote naonekana sina tabu ila daktari wa mambo hayo ulonambia sijawahi onana naye hapa nafikiria tu niende kupiga X-ray ya kichwa maana naona inakuwa too much.
Ahsante ndugu yangu ngoja nitamtafuta japo sitaki awe wa matunguriAiseee pole sana sana jamani....kwa kweli hata mimi kuna ndugu yangu mmoja anaumwa sana sana na kichwa muda mrefu more than 15years,
amepimwa vipimo vyote Dar.X-RAY,MRI,full blood picture Hakuna kitu,now nimeenda kwa dawa za mitishamba (Asili) sio juju please...sio mfuasi wa hayo mambo,nataka nione itakuwaje...kwa herberlist mmoja anaitwa SHARSTRI HERBRLIST Huwa anajitangaza kwenye TV sana,anapatikana Arusha na Dar, Mtaa wa Swahili/sikukuu kariakoo,jaribu pia na huko.Hata FACEBOOK Unaweza mpata.kama sijakosea jina lake.
Definetly you are right!Nadhani ni vizuri ungepima macho ccbrt. nilikuwa na tatizo hilo kwa miaka mingi ila for now ni historia! mara nyingi matatizo ya macho huchangia kwa kiasi kikubwa kichwa kuuma. anzia hapo ikishindikana ntakuelekeza dawa ya asili.
Hasa upungufu wa damu mwiliniWanasema ukiona kichwa kinakuuma sana basi ujue sehemu ya mwili wako kuna tatizo.
Kama upo jijini Dar nenda kanunuwe kitumbini Lozi aka (Almond) nusu kilo uw eunakula kila siku Lozi 12 kichwa chako kitapona.Jamani nisaidieni mwenzenu yani kuna mda naumwa kichwa mpaka nahisi navurugwa na ukizingatia nimeenda hospital nimepima vipimo vingi hakuna ugonjwa mpaka kuna kipindi nikahisi may be nimeukwaa nako nikapima nikakutwa sina tatizo.Plz nisaidieni hata dawa za mitishamba zinazotibu nitashukuru maana hii too much nami nachoka kulalamika daily naumwa maana inakuwa as if nafanya maigizo kuna mtu alinishauri ninywe mlonge lakini nao haujanisaidia plz msaada wenu kwa anayejua tiba.
Dah...ngoja wataalam waendelee kukushauri....ila mwaka jana nami nilisumbuliwa sana na jino....nikaling'oa...sasa hivi Niko poa sana[emoji41]Ahsante ndugu yangu ngoja nitamtafuta japo sitaki awe wa matunguri