Nahitaji msaada kuandika dissertation

Nahitaji msaada kuandika dissertation

farida29

Member
Joined
Dec 4, 2008
Posts
34
Reaction score
29
Mie ni mwanafunzi Wa mwaka Wa tatu. BSC Nutrition. ninahitaji msaada Wa jinsi ya kuandika dissertation. Title yake ni Nutritional status of children in Africa,special reference to Burundi
 
Mie ni mwanafunzi Wa mwaka Wa tatu. BSC Nutrition. ninahitaji msaada Wa jinsi ya kuandika dissertation. Title yake ni Nutritional status of children in Africa,special reference to Burundi
Mi nachokushauri kwanza pitia google utafute madesa ya namna ya kuandika dissertation,pia uzione sample za dissertation, lakini pia naamini unaye supervisor yeye atakuongoza fresh tu,then ingia Library ya chuoni kwako usome kazi za watu na uangalie namna walivyoandika,hakuna aliyezaliwa anajua,jitahid uandike mwenyewe ili mwisho wa siku uwe na uwezo wa kufanya risech na kuandika report mwenyewe
 
Ndo maana tunafeli kila siku kukicha maana kila kitu tunakidharau nakukiona kirahisi,haya sasa mwenzetu kaomba msaada hakuna majibu ni kejeli.Supervisor wake angekua kama nyinyi mnaodhan kila kitukinafahamika mngetoa marks tu.Hebu tuelimike tusiwe na mitazamo finyu kama akina fulan hapa wamekoment utadhani wanajua na wanabusara kumbe ni ulimbuken.
 
Mi nachokushauri kwanza pitia google utafute madesa ya namna ya kuandika dissertation,pia uzione sample za dissertation, lakini pia naamini unaye supervisor yeye atakuongoza fresh tu,then ingia Library ya chuoni kwako usome kazi za watu na uangalie namna walivyoandika,hakuna aliyezaliwa anajua,jitahid uandike mwenyewe ili mwisho wa siku uwe na uwezo wa kufanya risech na kuandika report mwenyewe

Ushauri wako uko poa sana. Rekebisha tu hapo kwenye red.
 
farida29, uko SUA? Kila chuo kina prospectus, na guidelines za jinsi ya kuandika dissertation zipo kuanzia font, size, spacing na headings. Google is your friend, hebu itumie kugoogle materials zote zinazohusiana na subtitles elekezi. Halafu ukienda library ya chuo chako, kuna dissertation reports za kutosha. Angalia upate idea unaandikaje.
 
Last edited by a moderator:
Tasnifu kwa kiswahili sanifu mkuu. ambalo ni andikovla kitaaluma linalohusu mada fulani
 
Back
Top Bottom