Nahitaji msaada kuhusu kuweka Bar code kwenye bidhaa

Nahitaji msaada kuhusu kuweka Bar code kwenye bidhaa

g4cool

JF-Expert Member
Joined
Oct 18, 2012
Posts
429
Reaction score
206
Habarini wandungu,
Kuna mdogo wangu huwa anatengeneza bidhaa ndogo ndogo, kama biscuit, karanga za mayai, keki, kashata nk then anapeki vzr, na kuna supermarket moja imeshakubali kupokea bidhaa zake, ila wanataka ziwe na bar code ili ziweze kusoma kwenye vile vimashine vyao, mi sijui chochote kuhusiana na hilo!!


Je mnanisaidiaje wadau??
 
Back
Top Bottom