Nahitaji msaada kuhusu spss

pamiho

JF-Expert Member
Joined
Jun 21, 2010
Posts
271
Reaction score
36
Salaam wana JF.
Natumia data analysis software (SPSS) nimekwama kwenye kipengele cha ANOVA jinsi ya kuelezea.

Mwenye kujua vema tafashali naomba anisaidie.
 
Bado unatumia SPSS? Tumia stata program
 
Spss ni outdated..tumia stata kama ulivoshauriwa na mdau hapo juu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…