Dogo1
JF-Expert Member
- Apr 6, 2012
- 1,357
- 577
Nimeoa miaka 10 iliyopita. Tatizo alilonalo mke wangu ni kwamba anausingizi sijapata kuona. Miaka michache iliyopita hali ilikua mbaya zaidi kwani alikua analala hata kwenye gari jambo lililonifanya nimshauri asiendeshe gari kwa usalama wake.
Kulala kwenye gari amepunguza, tatizo limebaki akiwa nyumbani. Yani iwe mchana au usiku akiketi tu kwenye kochi baada ya dakika chache ameshapotea kwenye usingizi. Hali hiyo ndio inajitokeza hata tukiwa bedroom.
Madhara yake ni kuwa nakosa muda wa kuongea nae lakini mbaya zaidi tunapoamua kuingia bed room kwa lengo la kupeana haki ya ndoa, ndio nachoka kabisa kwa sababu muda wa kufanya romance unakosekana kwa vile nikichelewa dakika kadhaa tayari amelala.
Hali hii inanikosesha raha kwani katika maisha na mapenzi linapokuja suala la kitandani napendelea nipate ushirikiano katika kufanya maandalizi kuanzia kwenye kidole hadi kwenye utosi kabla sijazama katikati ya mapaja yake.
Nimekuwa nikijadili nae hali hii lakini kwa masikitiko amekuwa akiniambia kua hana la kufanya kuhusiana tatizo la kulala kupita kiasi. Lakini zaidi huniambia nikihitaji tendo la ndoa nikiona amelala basi nitanue tu niingize!
Jamani naomba ushauri wenu, nimsaidie vipi mke wangu apunguze usingizi kwani hali yake inanikosesha raha ya mapenzi na mke wangu.