nyumba kubwa
JF-Expert Member
- Oct 8, 2010
- 10,309
- 8,379
Mke wako ni mnene sana?
Kama ndio mpigishe mazoezi ya JKT, jogging na ale matunda na mboga mboga kwa wingi. Apunguze vyakula vya mwanga na mafuta.
Aache kunywa jamii ya coca cola badala yake anywe maji ya dafu au ya kawaida tu na atumie mafuta ya nazi katika mapishi.
Kama ni mwembamba sana, mpe lishe ya kutosha na mazoezi.
Asipopata nafuu, mwone mganga/ daktari kwa ushauri na vipimo.
Nakushuru kwa ushauri. Mke wangu ni mnene, uzito wake ni km 100kg, umri wake 38 anajitahidi kula sana, anapenda vya sukari sana, hafanyi mazoezi na hanywi pombe.
Nimejitahidi kumshauri afanye mazoezi, apunguze weight, aache sukari sukari lakini bado kimsingi sijafanikiwa. Binafsi nafanya mazoezi ili ku -maintain my shape and good health. She likes sex so much as i do, we match in everything when it comes to love making.
Tatizo kubwa ni usingizi wake coz well nikimwamsha kila kitu kinakwenda sawa kama hajalala vile coz she like it alwayz. What i need is to help her angalau apunguze kulala the way she does.
Nitafanyia kazi ushauri wenu
Lakini sio vizuri kuleta dhihaka Kwenye vitu Kama hivi.
Uende kwa wataalamu wa afya, fanya hima mkuu...pole kwa hilo tatizo maana siyo dogo!
Nlikuwa nasoma na dada mmoja sec. yaani kila kipindi darasani alikuwa anasinzia, tukiwa tunasali anasinzia, tukiwa tunapiga stori anasinzia na usiku alikuwa anapumzika vizuri usingizi haukati mpaka wanafunzi&walimu wengi wakamfahamu kwa hilo..sijui anaendeleaje sasa ila usingizi ule haukuwa wa kawaida..
Nimeoa miaka 10 iliyopita. Tatizo alilonalo mke wangu ni kwamba anausingizi sijapata kuona. Miaka michache iliyopita hali ilikua mbaya zaidi kwani alikua analala hata kwenye gari jambo lililonifanya nimshauri asiendeshe gari kwa usalama wake.
Kulala kwenye gari amepunguza, tatizo limebaki akiwa nyumbani. Yani iwe mchana au usiku akiketi tu kwenye kochi baada ya dakika chache ameshapotea kwenye usingizi. Hali hiyo ndio inajitokeza hata tukiwa bedroom.
Madhara yake ni kuwa nakosa muda wa kuongea nae lakini mbaya zaidi tunapoamua kuingia bed room kwa lengo la kupeana haki ya ndoa, ndio nachoka kabisa kwa sababu muda wa kufanya romance unakosekana kwa vile nikichelewa dakika kadhaa tayari amelala.
Hali hii inanikosesha raha kwani katika maisha na mapenzi linapokuja suala la kitandani napendelea nipate ushirikiano katika kufanya maandalizi kuanzia kwenye kidole hadi kwenye utosi kabla sijazama katikati ya mapaja yake.
Nimekuwa nikijadili nae hali hii lakini kwa masikitiko amekuwa akiniambia kua hana la kufanya kuhusiana tatizo la kulala kupita kiasi. Lakini zaidi huniambia nikihitaji tendo la ndoa nikiona amelala basi nitanue tu niingize!
Jamani naomba ushauri wenu, nimsaidie vipi mke wangu apunguze usingizi kwani hali yake inanikosesha raha ya mapenzi na mke wangu.
nyumba kubwa ungeniona ninavyocheka peke yangu hapo kwenye RED. Nakumbuka kipindi fulani nilikuwa bonge, hapo nilikuwa tu ndo nimemaliza form4, si unajua maugali ya bording. yaani kile kipindi nilikuwa nalala sana, ningekuwa nimeolewa nadhani mume naye angelalamika sana.Na mimi nilikuwa nafikiri hivo hivo...wanene wana usingizi mwingi na wanalala popote hata katikati ya mazungumzo.
Kama mnene dawa ni zoezi na diet; ni kwa afya yake pia si kwa afya ya penzi peke yake.
nyumba kubwa ungeniona ninavyocheka peke yangu hapo kwenye RED. Nakumbuka kipindi fulani nilikuwa bonge, hapo nilikuwa tu ndo nimemaliza form4, si unajua maugali ya bording. yaani kile kipindi nilikuwa nalala sana, ningekuwa nimeolewa nadhani mume naye angelalamika sana.
Ila jingine pia labda anachoka sana, ajaribu kucheza naye mida ya asubuhi hasa siku ambazo hawaende kazini asubuhi, yaani amwache alale usingizi wooote, akiamka tu anaanza naye aone kama atasinzi katikati
Kuna chochote kilichokufanya udhani mimi ni ME?Duhh kumbe we ni Wa jinsia ya KE?
Duhh! Wa kawaida kweli? Labda mkeo ni jini coz inaonekana hajali kabisa hisia zako!
Hebu fikiria anakwambia akilala uingize!!!!! Sa utakuwa unatia mtu maiti? Samahani lakini Kama nitakuwa nimekukwaza!