khalee206
Member
- Apr 15, 2018
- 12
- 4
kwa anae tumia ADVCASH ...ukishajiunga kuna sehem 3 za kujaza ile ya pili wanadai baadh ya vitu flani flani hivi ila kwangu nimeona nafuu barua ya utamburisho kutoka bank but nilipoenda bank kuomba hiyo barua ..wakaniuliza nataka kufanyia nini?baada ya kuwaeleza wakasema hawajui kuhusu ADVCASH...so nimekosa kupata hiyo barua naombeni msaada kwa mtu mwenye nayo ambae alishawahi kujiunga na hiyo huduma au mwenye uwezo wa kunielekeza jinsi ya kuipata...