advcash ndio nini mkuukwa anae tumia ADVCASH ...ukishajiunga kuna sehem 3 za kujaza ile ya pili wanadai baadh ya vitu flani flani hivi ila kwangu nimeona nafuu barua ya utamburisho kutoka bank but nilipoenda bank kuomba hiyo barua ..wakaniuliza nataka kufanyia nini?baada ya kuwaeleza wakasema hawajui kuhusu ADVCASH...so nimekosa kupata hiyo barua naombeni msaada kwa mtu mwenye nayo ambae alishawahi kujiunga na hiyo huduma au mwenye uwezo wa kunielekeza jinsi ya kuipata...
oooh sawa mkuuhiyo advance cash..online wallet
POLE MKUU NGOJA WAJUZI WAJEnapata shida sana iseee..kupa mpunga wangu upo sehem natak kuutupia bank sas cwez kuutupia bank ad niutupie kwanza hapo alafu ndo niuamishie bank