Nahitaji msaada kutoka kwa mwanasheria - dar

Job K

JF-Expert Member
Joined
Oct 4, 2010
Posts
9,314
Reaction score
7,149
Wana JF, nahitaji mwanasheria wa kwenda kunisaidia kushuhudia utiaji saini wa mkataba wangu wa ununuzi wa shamba. Hapa Dar kwa maeneo ya Ubungo, Sinza na Magomeni naweza kuwapata wapi (Naomba mnielekeze ofisi za mwanasheria yeyote kwa maeneo hayo niliyoyataja). Maana kazi yenyewe iko Kimara ndo maana sihitaji kuwafuata mjini kati ili kupunguza gharama.

Hivi malipo ya mwanasheria wa shughuli hiyo anaweza kunitoza kiasi gani?

Naomba msaada wenu please!!!!!!!!!!
 
duh siamini mkuu tangu mwezi wa pili mwaka jana hadi leo hujajibiwa, kweli sometimes Jamii forums inahitaji uvumilivu
 
Back
Top Bottom