Nahitaji msaada kutoka kwa wanaofahamu kuhusu kupeleka bidhaa Ulaya

principles

Member
Joined
Nov 17, 2017
Posts
30
Reaction score
10
Habari wana board....

Habarini za mwaka mpya

Kama kichwa cha habari kinapojieleza hapo juu kuwa biashara za majuu

Kwa yoyote yule ambaye ana experience for the first time kupeleka mzigo ulaya America au Asia aje hapa jukwaani atupe experience

Ilikuaje Kwa biashara kama vile mazao ya kilimo.. mifugo..na bidhaa nyingine
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…