Nahitaji msaada kwa anayefahamu tiba ya ugonjwa huu

Nahitaji msaada kwa anayefahamu tiba ya ugonjwa huu

Apocrita

Member
Joined
Jan 22, 2015
Posts
20
Reaction score
6
Nna mwanangu ana umri wa miez,, wiki ya 2 sasa anasumbuliwa na viupele vdgovdgo,, vipele vinamtoka kwa wing sana maeneo ya mabegan had mgongoni,,, cha kushangaza anaanza kutokwa na vipele vikubwa maeneo hayo pamoja na kichwan,, nmezunguka hosp. Bado tatizo halikomi. Vipele vinakua na usaha. Naomben msaada wenu wapendwa,,, Mwanangu anateseka usiku halali.
 
dada solution ni kupiga goti usali kwa Mungu wako,inaonekana umezunguka kwote kasoro kwake
 
Dada ninakushauri muone daktari bingwa wa watoto.

Pia unaweza kujaribu Aunt Zainab's Natural Super Clay, licha ya kuwasaidia watu wazima wenye matatizo tofauti ya kwenye ngozi, umewasaidia sana watoto wenye vipele, fangasi, mapunye na muwasho mwilini.

Hauna madhara kwa watoto wala watu wazima.
 
Back
Top Bottom