Nna mwanangu ana umri wa miez,, wiki ya 2 sasa anasumbuliwa na viupele vdgovdgo,, vipele vinamtoka kwa wing sana maeneo ya mabegan had mgongoni,,, cha kushangaza anaanza kutokwa na vipele vikubwa maeneo hayo pamoja na kichwan,, nmezunguka hosp. Bado tatizo halikomi. Vipele vinakua na usaha. Naomben msaada wenu wapendwa,,, Mwanangu anateseka usiku halali.