nasajiri kampuni yangu kupitia mfumo wa kielectroniki nimefika sehemu sijaelewa kama kuna mtu anaweza kunipa msaada anisaidie,naiataji kujua (company consolidated form ni form hipi hii na ikoje )na kama mtu anayo aattach nione mfumo wake
msaada tafadhali