bahatilicious
Member
- Jul 11, 2018
- 15
- 14
Kama kichwa kinavojieleza natafuta kazi ya kuweza kujikimu, nina diploma ya uhasibu
Kwa yeyote anayeweza kunisaidia au kunipa mawazo ya jinsi ya kujikwamua, mitihani ya utumishi nimeshafanya mingi ila sijafanikiwa kupita.
Sina uzoefu sana nimefanya internship zile za TAESA ila ni mwepesi nikielekezwa kufanya jambo. Nakuja kwenu mnisaidie mawazo hata jinsi ya kujiunga linkedin niweze kutafuta ajira na huko.
Pia jinsi ya kutafuta remote jobs sielewi unatafutaje na uwe na skills gani uweze kupata hizi remote jobs za sehemu tofautitofauti.
PLEASE NAOMBENI MNIPE USHAURI NA MAWAZO YENU NIWEZE KUJIKWAMUA.