Nahitaji Msaada please

Nahitaji Msaada please

Biashara Mtaji

JF-Expert Member
Joined
Aug 19, 2016
Posts
324
Reaction score
288
Habari za Jioni hii wana JF

Kama kichwa cha habari hapo juu, Mimi ni Mvulana mwenye umri wa miaka 32 nasumbuliwa na tatizo la kujichua yaani Kupiga PUNYETO. Nimeanza tatizo hili bado nikiwa shule ya msingi, secondary mapaka chuoni.

Nimewahi kuwa na mahusiano na mwanamke ambaye ni mpenzi wangu, kwa muda nikiwa naye huwa kidogo napuza kufanya lakini huwa inafikia kipindi nawaza kufanya kitendo hicho huku tukiwa naye ndani me naenda kufanya huko faragha na nikirudi nakuwa sina ham naye tena.

Katika umri huu Nina mtoto mmoja na mwanamke niliye zaa naye hatuishi naye pamoja, lakini tendo la na mwanamke nadiriki vizuri tu, ila nina uwezo wa kukaa miezi 4 hadi 6 sijakutana na mwanamke lakini huku kila baada ya siku 3 mapaka 4 lazima nidiriki kufanya PUNYETO, kwa sasa nasumbuliwa sana na tatizo la kuumwa na kichwa Mara kwa Mara na nimesha udhuria hospital nyingi kwa vipimo zaidi naambiwa hakuna tatizo.

Nimepima Sana
a. wingi wa damu huwa normal
b. pressure huwa normal
c. Sukari huwa normal
d. malaria naambiwa sina
e. U.T.I naamabiwa sina
f. HIV - Negative

Msada wangu kwenu wana JF hasa kwenye Ukumbi huu unao usiana na swala la AFYA

1. Je tatizo hili la kichwa inaweza kuwa miongoni mwa madhara ya Punyeto.
2. Nimejitahidi sana kuacha lakini nashindwa, Je ni njia zipi nitumie ili niache,
3. Madhara ya hili tatizo naweza kupata madhara katika umri gani au kipindi gani.

My note.
Nahitaji kuacha, naombeni msaada njia za kufanya ili niache please.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuumwa na kichwa inaweza kua
Stress
Njaa
Hunywi maji
Hupati muda wa kupumzika vizuri

Hebu jichunguze kwanza ratiba yako per day, unapata muda wa kutosha wa kupumzika? Unazingatia chakula sahihi kwa afya yako? Vipi kuhusu maji unakunywa inavyotakiwa?

Ulipaswa kufanya hivi kunywa maji mengi then angalia bado kinauma? Then pumzika bado kitakuuma? Achana na stress je bado unaumwa? Ikiwa utazingatia hayo na bado unaumwa inakupasa sasa uwah hospital kwa msaada zaidi

Madame S
 
Sio rahisi kuacha punyeto kama isivyo rahisi kuacha kufanya ngono.
Na pia sio rahisi kuacha punyeto kwasababu Ni njia rahisi ya kukupa raha kila unapotaka bila kumwomba mtu.

Ila ntakupa ushauri huu.
Spidi unayotumia kujichua siyo spidi unayotumia kufanya ngono.

Sasa,from my psychological point of view,kama unataka kumshinda adui yako bila yeye kujua yani tricking your brain,inabidi umtumie adui yako.Yaani ufanye hiyo hiyo punyeto kujikomboa.

Anza kupunguza spidi ya kujichua,namaanisha unapojichua usifanye haraka haraka Fanya taratibu.
Endelea kupunguza spidi hata kama 'utateseka' its the only way.
Sasa endelea kupunguza spidi mpaka ufikie ile unayotumia kufanya sex na mwanamke.
Ukipenda punguza zaidi.
Wakati unapunguza spidi ya kujichua pia uwe unafanya sex na mwanamke wako kuona kama inafanya kazi.

Itafika stage ubongo wako utazoea kuwa raha unayoipata kwenye sex Ni sawa na ya punyeto.
Endelea kupunguza spidi ya punyeto uwe unafanya taratibu saaaana.Hapa ubongo wako utaanza kuboreka na kuona bora ufanye sex na mwanamke.Utaona ukifanya sex na mwanamke Ni haraka zaidi.

Mkuu,utakuwa umefanikiwa Ku trick your brain.Yaani ubongo wako unaona sasa sex na mwanamke ni kama ulivyokuwa unafanya punyeto.Na utakuwa na tolerance ya Maana.

All the best.Usigive up.
Thank me later.
 
ahsante Sana Madame S
kichwa tokea nikiwa na umri mdogo huwa kinasumbua na hospital nyingi nimeenda toefauti tofauti lakini naambiwa Kama ulivyo nishauri, ukweli huwa nakuwa busy Sana laikini maji nakunywa na kikianza kuuma na kichefu chefu kinakuja pia

Cherie neisha
Thanks so much for you advise
[emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pole, miaka 32 sio mvulana ni mwanaume wewe. Pili jarbu kupima macho huenda ukawa na tatzo kwani nalo pia husababisha kichwa kuuma

Sent using Jamii Forums mobile app
ahsante Sana kumbe me mwanaume na sio mvulana haya nilikuwa sijui ahasant kwa kunijuza

[emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120]

digba sowey: macho nilipima sina tatizo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
ahsante Sana Madame S
kichwa tokea nikiwa na umri mdogo huwa kinasumbua na hospital nyingi nimeenda toefauti tofauti lakini naambiwa Kama ulivyo nishauri, ukweli huwa nakuwa busy Sana laikini maji nakunywa na kikianza kuuma na kichefu chefu kinakuja pia

Sent using Jamii Forums mobile app
Pole sana zingatia ushauri uliyopewa

Madame S
 
Back
Top Bottom