Biashara Mtaji
JF-Expert Member
- Aug 19, 2016
- 324
- 288
Habari za Jioni hii wana JF
Kama kichwa cha habari hapo juu, Mimi ni Mvulana mwenye umri wa miaka 32 nasumbuliwa na tatizo la kujichua yaani Kupiga PUNYETO. Nimeanza tatizo hili bado nikiwa shule ya msingi, secondary mapaka chuoni.
Nimewahi kuwa na mahusiano na mwanamke ambaye ni mpenzi wangu, kwa muda nikiwa naye huwa kidogo napuza kufanya lakini huwa inafikia kipindi nawaza kufanya kitendo hicho huku tukiwa naye ndani me naenda kufanya huko faragha na nikirudi nakuwa sina ham naye tena.
Katika umri huu Nina mtoto mmoja na mwanamke niliye zaa naye hatuishi naye pamoja, lakini tendo la na mwanamke nadiriki vizuri tu, ila nina uwezo wa kukaa miezi 4 hadi 6 sijakutana na mwanamke lakini huku kila baada ya siku 3 mapaka 4 lazima nidiriki kufanya PUNYETO, kwa sasa nasumbuliwa sana na tatizo la kuumwa na kichwa Mara kwa Mara na nimesha udhuria hospital nyingi kwa vipimo zaidi naambiwa hakuna tatizo.
Nimepima Sana
a. wingi wa damu huwa normal
b. pressure huwa normal
c. Sukari huwa normal
d. malaria naambiwa sina
e. U.T.I naamabiwa sina
f. HIV - Negative
Msada wangu kwenu wana JF hasa kwenye Ukumbi huu unao usiana na swala la AFYA
1. Je tatizo hili la kichwa inaweza kuwa miongoni mwa madhara ya Punyeto.
2. Nimejitahidi sana kuacha lakini nashindwa, Je ni njia zipi nitumie ili niache,
3. Madhara ya hili tatizo naweza kupata madhara katika umri gani au kipindi gani.
My note.
Nahitaji kuacha, naombeni msaada njia za kufanya ili niache please.
Sent using Jamii Forums mobile app