okiwira
JF-Expert Member
- Jul 23, 2018
- 2,856
- 3,003
Kuna DOGO kamaliza form4 hivyo nataka nimwezeshe biashara ya kuuza vifurushi vya dk,mb,sms vya mitandao yoote na kuuza LUKUU ya umeme visiwe vya kukwangua vocha Bali kutumia mashine (SIJUI NI MASHINE GANI INAFAA)
Pia awe analipia ving'amuzi.
Pia awe anasajili laini (SIJUI NI MASHINE GANI INASAJILI LAINI ZOTE?)
Sehemu aliyoopo ina uhitaji wa huduma hiyo.
Msaada wenu anahitaji kuzijua machine hizo majina na bei zake zikiwa mpya toka dukani.