Unataka kuweka huduma za kifedha kama TigoPesa ,M-Pesa,Airtel Money nk. Sio.??
Kama ni vifurushi tu bora umuache ajitafute tu mtaani.
Zipo machine za Selcom mpya inauzwa 300k lakini ili wakuuzie lazima uwe na mtaji wa kuanzia 200k ambao wanakuekea kama flot baada ya kuinunua,so nenda na 500k.
Ila hawa commission yao ni ya kipuuzi ndo maana Mawakala wengi wakiuza umeme wanakata 200 .
Machine nyingine ni hizi za Kibenki.