Nahitaji msaada wa App ipi naweza tumia ku edit picture na kuprint?

Mondela

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2021
Posts
2,567
Reaction score
3,777
Samahani mwaka huu nimeanzisha biashara ya kuprint picha,passport size, copy na scanning hivyo nilijaribu ku install Adobe photoshop lakini nikagundua pc yangu haina uwezo wa ku run Adobe photoshop na pc yangu ni core i3 10th gen, Ram 4, 1tb hivyo nahitaji program nzuri na ambayo ita run smoothly kwenye pc yangu. Sihitaji Epson Easy photo print maana ninayo nahitaji software nyingine.
 
Kuna uzi pale jukwaa la masuala ya technology, unahusi mambo za graphics designing kwa njia ya cm naona utakufaa!

Sent from my SM-N910C using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…