Nahitaji msaada wa haraka wa kisheria

Mnateseka sana, majibu yapo hapo hapo Bank, sema nyie mkiendaga huwa mnasikiliza tu hamhoji, rudi, ongea na kila mtu, manager, floor manager, anyone

Huu ukondoo wa Kitanzania ni wa hovyo sana, hatuna tabia za kuhoji, kama bank imekosea how ks that my fault, pambana.

Wakati unaongea nao una wa record, weka kumbukumbua, elekea mahakamani, mkataba wako unasema miaka mingapi? Si unao huo mkataba?

Mkataba unasemaje? Mkopo ni wa mda gani? Anzia hapa, kama umekiukwa unaomba ushauri gani, nenda kwa manager, hoji, asiposikiliza, nenda mahakaman, ila najua kama wao wana makosa atasikiliza.

Yani ina maana level zote za auditing kwa miezi 36 hazikuyaona hayo makosa? Ngumu sana kuamini hii hadithi.
 
Nilichukua mkopo bank x wa 3,200,000 kwa muda wa miaka 3(miezi 36) mkataba nilisaini hivo.
Makato yalikuwa 114,000
Je, unayo copy ya mkataba wa mkopo kuthibitisha hayo, yaani kiasi cha mkopo, muda wa mkopo na makato kwa mwezi?
 
Nenda mahakamani, wao wasingekuwacha.
 
Shukrani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…